Arusha
Home » » BREAKING NUUUUUUZ: MAHAKAMA YAMVUA UBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA

BREAKING NUUUUUUZ: MAHAKAMA YAMVUA UBUNGE WA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA




Mahakama ya mkoa wa jijini Arusha imemvua ubunge aliyekuwa mbunge wa
Arusha Godbless Lema asubuhi hii habari zilizotufikia zinasema uamuzi
huo umetokana na kesi ya kupinga matokeo iliyokuwa imefunguliwa dhidi ya
Godbless Lema iliyokuwa ikiendelea mkoani humo.

Habari zaidi kuhusu tukio hilo na hali ilvyokuwa wakati wa uamuzi wa mahakama jijini Arusha tutawaletea hivi punde kutoka kwa mwandishi wetu Gladness Mushi wa Arusha aliyekuwepo mahakamani hapo.

3 comments:

Anonymous said...

duhhhh! uchaguzi mdogo tena

Anonymous said...

Watamvua Godbless Lema na watamwapisha huyo huyo tena au Mgombea mwingine wa CHADEMA, ikiwa sheria zitamzuia Lema kuingia katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mdogo!
CCM si Chama Tawala tena baada ya Oktoba, 2015!

Chifu Mabula,
Stakishari - Kipawa, Ilala
DAR ES SALAAM

Anonymous said...

Uchaguzi mdogo umelazimishwa na sisiem baada ya kugundua mbinu mpya za wizi wa kura. hata hivyo naawaalika wananchi wenzangu wa arusha kwamba tuwe watulivu lakini tuioneshe serekali kwamba tumewachoka. kura zetu tutahesabu kwa mikono na si kwa laptop. TRASIAS KAGENZI ANA KAZI NYINGINE TENA

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa